Joel 2:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanauvamia mji, wanapiga mbio ukutani; wanaziparamia nyumba na kuingia, wanapenya madirishani kama wezi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaenda kasi kuingia mjini; wanakimbia ukutani. Wanaingia ndani ya nyumba; kwa kuingilia madirishani kama wezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huurukia mji; hupiga mbio juu ya ukuta; hupanda na kuingia ndani ya nyumba; huingia madirishani kama aingiavyo mwivi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanauvamia mji, wanapiga mbio ukutani; wanaziparamia nyumba na kuingia, wanapenya madirishani kama wezi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaenda kasi kuingia mjini; wanakimbia ukutani. Wanaingia ndani ya nyumba; kwa kuingilia madirishani kama wevi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaenda kasi kuingia mjini; wanakimbia ukutani. Wanaingia ndani ya nyumba; kwa kuingilia madirishani kama wevi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huurukia mji; hupiga mbio juu ya ukuta; hupanda na kuingia ndani ya nyumba; huingia madirishani kama aingiavyo mwizi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanauvamia mji, wanapiga mbio ukutani; wanaziparamia nyumba na kuingia, wanapenya madirishani kama wezi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanaurukia mji wakizikwea kuta za bomani mbiombio, wanapanda kuingia nyumbani na kujipenyeza madirishani kama mwizi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huurukia mji; hupiga mbio juu ya ukuta; hupanda na kuingia ndani ya nyumba; huingia madirishani kama aingiavyo mwivi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanashambulia muji, wanakimbia juu ya ukuta; wanapanda juu ya nyumba na kuingia, wanapenya katika madirisha kama wezi.