Joel 3:10 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majembe yenu yafueni yawe mapanga, miundu yenu ya kupogolea iwe mikuki. Hata aliye dhaifu na aseme: ‘Mimi pia ni shujaa’.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Majembe yenu yafueni yawe panga, na miundu yenu ya kukatia iwe mikuki. Aliye dhaifu na aseme, “Mimi nina nguvu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yafueni majembe yenu yawe panga, na miundu yenu iwe mikuki; aliye dhaifu na aseme, Mimi ni hodari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majembe yenu yafueni yawe mapanga, miundu yenu ya kupogolea iwe mikuki. Hata aliye dhaifu na aseme: ‘Mimi pia ni shujaa’.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Majembe yenu yafueni yawe panga na miundu yenu ya kukatia iwe mikuki. Aliye dhaifu na aseme, “Mimi nina nguvu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Majembe yenu yafueni yawe panga na miundu yenu ya kukatia iwe mikuki. Aliye dhaifu na aseme, “Mimi nina nguvu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yafueni majembe yenu yawe panga, na miundu yenu iwe mikuki; aliye dhaifu na aseme, Mimi ni hodari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majembe yenu yafueni yawe mapanga, miundu yenu ya kupogolea iwe mikuki. Hata aliye dhaifu na aseme: ‘Mimi pia ni shujaa’.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yafueni majembe yenu, yawe panga, navyo visu vyenu, viwe mikuki! Naye aliye mnyonge sharti aseme: Mimi ni mwenye nguvu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)