Joel 3:11 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njoni haraka, enyi mataifa yote jirani, kusanyikeni huko bondeni.” Ee Mwenyezi-Mungu! Teremsha askari wako dhidi yao!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njooni haraka, ninyi mataifa yote kutoka pande zote, kusanyikeni huko. Shusha mashujaa wako, Ee Mwenyezi Mungu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fanyeni haraka, mje, enyi mataifa yote, wa pande zote, jikusanyeni pamoja; na huko watelemshe mashujaa wako wote, Ee Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njoni haraka, enyi mataifa yote jirani, kusanyikeni huko bondeni.” Ee Mwenyezi-Mungu! Teremsha askari wako dhidi yao!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoni haraka, ninyi mataifa yote kutoka pande zote, kusanyikeni huko. Shusha wapiganaji wako, Ee BWANA!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njooni haraka, ninyi mataifa yote kutoka pande zote, kusanyikeni huko. Shusha wapiganaji wako, Ee bwana!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fanyeni haraka, mje, enyi mataifa yote, wa pande zote, jikusanyeni pamoja; na huko wateremshe mashujaa wako wote, Ee BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njoni haraka, enyi mataifa yote jirani, kusanyikeni huko bondeni.” Ee Mwenyezi-Mungu! Teremsha askari wako dhidi yao!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pigeni mbio, mje mkusanyike, ninyi mataifa yote mkaao na kuwazunguka! Nawe Bwana, wapeleke wanguvu wako, wawatelemkie kuko huko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fanyeni haraka, mje, enyi mataifa yote, wa pande zote, jikusanyeni pamoja; na huko watelemshe mashujaa wako wote, Ee BWANA.