Joel 3:14 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafika makundi kwa makundi kwenye bonde la Hukumu, maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umati mkubwa, umati mkubwa katika bonde la uamuzi! Kwa kuwa siku ya Mwenyezi Mungu ni karibu katika bonde la uamuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makutano makubwa, makutano makubwa, wamo katika bonde la kukata maneno! Kwa maana siku ya Bwana i karibu, katika bonde la kukata maneno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafika makundi kwa makundi kwenye bonde la Hukumu, maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umati mkubwa, umati mkubwa katika bonde la uamuzi! Kwa kuwa siku ya BWANA ni karibu katika bonde la uamuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umati mkubwa, umati mkubwa katika bonde la uamuzi! Kwa kuwa siku ya bwana ni karibu katika bonde la uamuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umati mkubwa, umati mkubwa, wamo katika bonde la kukata kauli! Kwa maana siku ya BWANA i karibu, katika bonde la kukata kauli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafika makundi kwa makundi kwenye bonde la Hukumu, maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yako makundi ya watu mengi na mengi huko bondeni kunakokatwa mashauri, kwani siku ya Bwana iko karibu huko bondeni kunakokatwa mashauri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makutano makubwa, makutano makubwa, wamo katika bonde la kukata maneno! Kwa maana siku ya BWANA i karibu, katika bonde la kukata maneno.