Joel 3:18 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Wakati huo, milima itatiririka divai mpya, na vilima vitatiririka maziwa. Vijito vyote vya Yuda vitajaa maji; chemchemi itatokea nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu, na kulinywesha bonde la Shitimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya, na vilima vitatiririka maziwa; mabonde yote ya Yuda yatatiririka maji. Chemchemi itatiririka kutoka nyumba ya Mwenyezi Mungu na kunywesha Bonde la Shitimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa siku ile, ya kwamba milima itadondoza divai tamu, na vilima vitatiririka maziwa, na vijito vyote vya Yuda vitatoa maji tele; na chemchemi itatokea katika nyumba ya Bwana, na kulinywesha bonde la Shitimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Wakati huo, milima itatiririka divai mpya, na vilima vitatiririka maziwa. Vijito vyote vya Yuda vitajaa maji; chemchemi itatokea nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu, na kulinywesha bonde la Shitimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya, na vilima vitatiririka maziwa; mabonde yote ya Yuda yatatiririka maji. Chemchemi itatiririka kutoka kwenye nyumba ya BWANA na kunywesha Bonde la Shitimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya, na vilima vitatiririka maziwa; mabonde yote ya Yuda yatatiririka maji. Chemchemi itatiririka kutoka kwenye nyumba ya bwana na kunywesha Bonde la Shitimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa siku ile, ya kwamba milima itadondoza divai tamu, na vilima vitatiririka maziwa, na vijito vyote vya Yuda vitatoa maji tele; na chemchemi itatokea katika nyumba ya BWANA, na kulinywesha bonde la Shitimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Wakati huo, milima itatiririka divai mpya, na vilima vitatiririka maziwa. Vijito vyote vya Yuda vitajaa maji; chemchemi itatokea nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu, na kulinywesha bonde la Shitimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile itakuwa, milima idondoe mvinyo mbichi, navyo vilima vitachuruzika maziwa, navyo vijito vyote vya Yuda vitaleta maji mengi. Kisha Nyumbani mwa Bwana mtatokea chemchemi, italinywesha Bonde la Migunda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)