Joel 3:21 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawaadhibu waliomwaga damu ya watu wa Yuda wala sitawaachia wenye hatia. Mimi, Mwenyezi-Mungu nakaa Siyoni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatia yao ya damu, ambayo sijasamehe, nitasamehe.” Mwenyezi Mungu anakaa Sayuni!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaitakasa damu yao ambayo sijaitakasa; kwa maana Bwana ndiye akaaye Sayuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawaadhibu waliomwaga damu ya watu wa Yuda wala sitawaachia wenye hatia. Mimi, Mwenyezi-Mungu nakaa Siyoni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatia yao ya damu, ambayo sijasamehe, nitasamehe.” BWANA anakaa Sayuni!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatia yao ya damu, ambayo sijasamehe, nitasamehe.” bwana anakaa Sayuni!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaitakasa damu yao ambayo sijaitakasa; kwa maana BWANA ndiye akaaye Sayuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawaadhibu waliomwaga damu ya watu wa Yuda wala sitawaachia wenye hatia. Mimi, Mwenyezi-Mungu nakaa Siyoni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, nitakavyozilipiza damu zao, ambazo sikuzilipiza bado. Naye Bwana atakuwa anakaa Sioni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaitakasa damu yao ambayo sijaitakasa; kwa maana BWANA ndiye akaaye Sayuni.