Joel 3:6 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmewapeleka watu wa Yuda na Yerusalemu mbali na nchi yao, mkawauza kwa Wagiriki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mliwauza watu wa Yuda na Yerusalemu kwa Wayunani, ili mpate kuwapeleka mbali na nchi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena watoto wa Yuda na watoto wa Yerusalemu mmewauzia Wayunani, mpate kuwahamisha mbali na mipaka yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmewapeleka watu wa Yuda na Yerusalemu mbali na nchi yao, mkawauza kwa Wagiriki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mliwauza watu wa Yuda na Yerusalemu kwa Wayunani, ili kwamba mpate kuwapeleka mbali na nchi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mliwauza watu wa Yuda na Yerusalemu kwa Wayunani, ili kwamba mpate kuwapeleka mbali na nchi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena watoto wa Yuda na watoto wa Yerusalemu mmewauzia Wagiriki, mpate kuwahamisha mbali na nchi yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmewapeleka watu wa Yuda na Yerusalemu mbali na nchi yao, mkawauza kwa Wagiriki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Yuda na wa Yerusalemu mmewauzia wana wa Wagriki, mpate kuwapeleka mbali, wasirudi mipakani kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena watoto wa Yuda na watoto wa Yerusalemu mmewauzia Wayunani, mpate kuwahamisha mbali na mipaka yao;