Joel 3:8 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wenu wa kiume na wa kike nitawafanya wauzwe kwa watu wa Yuda, nao watawauzia Washeba, watu wa taifa la mbali kabisa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawauza wana wenu wa kiume na wa kike kwa watu wa Yuda, nao watawauza kwa Waseba, taifa lililo mbali.” Mwenyezi Mungu amesema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mimi nitawauza wana wenu na binti zenu, na kuwatia katika mikono ya wana wa Yuda, nao watawauzia watu wa Sheba, taifa lililo mbali kabisa; kwa maana Bwana ndiye aliyesema neno hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wenu wa kiume na wa kike nitawafanya wauzwe kwa watu wa Yuda, nao watawauzia Washeba, watu wa taifa la mbali kabisa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawauza wana wenu na binti zenu kwa watu wa Yuda, nao watawauza kwa Washeba, taifa lililo mbali.” BWANA amesema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawauza wana wenu na binti zenu kwa watu wa Yuda, nao watawauza kwa Waseba, taifa lililo mbali.” bwana amesema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mimi nitawauza wana wenu na binti zenu, na kuwatia katika mikono ya wana wa Yuda, nao watawauzia watu wa Sheba, taifa lililo mbali kabisa; kwa maana BWANA ndiye aliyesema neno hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wenu wa kiume na wa kike nitawafanya wauzwe kwa watu wa Yuda, nao watawauzia Washeba, watu wa taifa la mbali kabisa. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitawauza wana wenu wa kiume na wa kike na kuwatia mikononi mwao wana wa Yuda, nao watawauzia Wasaba, kwa kuwa ni taifa likaalo mbali; kwani Bwana ndiye aliyevisema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mimi nitawauza wana wenu na binti zenu, na kuwatia katika mikono ya wana wa Yuda, nao watawauzia watu wa Sheba, taifa lililo mbali kabisa; kwa maana BWANA ndiye aliyesema neno hili.