Joel 3:9 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Watangazieni watu wa mataifa jambo hili: Jitayarisheni kwa vita, waiteni mashujaa wenu; askari wote na wakusanyike, waende mbele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tangazeni hili miongoni mwa mataifa: Jiandaeni kwa vita! Amsha mashujaa! Wapiganaji wote wasogee karibu na kushambulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tangazeni haya kati ya mataifa; takaseni vita; waamsheni mashujaa; watu wa vita na wakaribie; na wapande juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Watangazieni watu wa mataifa jambo hili: Jitayarisheni kwa vita, waiteni mashujaa wenu; askari wote na wakusanyike, waende mbele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tangazeni hili miongoni mwa mataifa: Jiandaeni kwa vita! Amsha askari! Wanaume wote wapiganaji wasogee karibu na kushambulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tangazeni hili miongoni mwa mataifa: Jiandaeni kwa vita! Amsha askari! Wanaume wote wapiganaji wasogee karibu na kushambulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tangazeni haya kati ya mataifa; jitayarisheni kwa vita; waamsheni mashujaa; watu wa vita na wakaribie; na wapande juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Watangazieni watu wa mataifa jambo hili: Jitayarisheni kwa vita, waiteni mashujaa wenu; askari wote na wakusanyike, waende mbele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatangazeni haya kwa mataifa! Kisha eueni vita! Wainueni wenye nguvu! Wote walio mafundi wa vita na waje na kujipanga!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tangazeni haya kati ya mataifa; takaseni vita; waamsheni mashujaa; watu wa vita na wakaribie; na wapande juu.