John 1:19 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huu ndio ushahidi Yohane alioutoa wakati viongozi wa Wayahudi kule Yerusalemu walipowatuma makuhani na Walawi, wamwulize: “Wewe u nani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huu ndio ushuhuda wa Yahya wakati viongozi wa Wayahudi waliwatuma makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu kumuuliza, “Wewe ni nani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma kwake makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu ili wamwulize, Wewe u nani?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Viongozi wa Kiyahudi kule Yerusalemu walituma baadhi ya makuhani na Walawi kwa Yohana kumwuliza, “Wewe ni nani?” Yohana akawaeleza kweli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huu ndio ushahidi Yohane alioutoa wakati viongozi wa Wayahudi kule Yerusalemu walipowatuma makuhani wa Walawi kwake wamwulize: “Wewe u nani?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huu ndio ushahidi Yohane alioutoa wakati viongozi wa Wayahudi kule Yerusalemu walipowatuma makuhani na Walawi, wamwulize: “Wewe u nani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huu ndio ushuhuda wa Yohana wakati Wayahudi walipotuma makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu kumwuliza, “Wewe ni nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huu ndio ushuhuda wa Yahya wakati Wayahudi walipowatuma makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu kumuuliza, “Wewe ni nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma kwake makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu ili wamwulize, Wewe u nani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huu ndio ushahidi Yohane alioutoa wakati viongozi wa Wayahudi kule Yerusalemu walipowatuma makuhani na Walawi, wamwulize: “Wewe u nani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Huu ndio ushahidi wa Yohana, Wayuda walipotuma kwake toka Yerusalemu watambikaji na Walawi, wamwulize: Wewe ndiwe nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma kwake makuhani na Walawi kutoka Yerusalemu ili wamwulize, Wewe u nani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huu ndio ushuhuda wa Yoane kwa makuhani na Walawi waliotumwa na Wayuda kutoka Yerusalema kumwuliza kwamba yeye ni nani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma makuhani na Walawi toka Yerusalemi wamwulize, Wewe u nani?