John 1:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yohane hakukataa kujibu swali hilo, bali alisema waziwazi, “Mimi siye Kristo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yahya alikiri waziwazi pasipo kuficha, akasema, “Mimi si Al-Masihi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alikiri, wala hakukana; alikiri kwamba, Mimi siye Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akajibu kwa wazi bila kusitasita, “Mimi siyo Masihi.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yohane hakukataa kujibu swali hilo, bali alisema waziwazi, “Mimi siye Kristo.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yohane hakukataa kujibu swali hilo, bali alisema waziwazi, “Mimi siye Kristo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yohana alikiri waziwazi pasipo kuficha akasema, “Mimi si Kristo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yahya alikiri waziwazi pasipo kuficha akasema, “Mimi si Al-Masihi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alikiri, wala hakukana; alikiri kwamba, Mimi siye Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yohane hakukataa kujibu swali hilo, bali alisema waziwazi, “Mimi siye Kristo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaungama pasipo kukana, akaungama: Mimi siye Kristo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alikiri, wala hakukana; alikiri kwamba, Mimi siye Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoane aliwajibu hivi waziwazi bila kukana: “Mimi si Kristo.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae aliungama wala hakukana; aliungama, Mimi siye Kristo.