John 1:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo anakuja baada yangu, lakini mimi sistahili hata kumfungua kamba za viatu vyake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye anakuja baada yangu, nami sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiye yule ajaye nyuma yangu, ambaye mimi sistahili kuilegeza gidamu ya kiatu chake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeye ndiye yule anayekuja baada yangu. Nami sina sifa za kuwa mtumwa anayefungua kamba za viatu vyake.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huyo anakuja baada yangu, lakini mimi sistahili hata kumfungua kamba za viatu vyake.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo anakuja baada yangu, lakini mimi sistahili hata kumfungua kamba za viatu vyake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye ajaye baada yangu, sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye ajaye baada yangu, sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiye yule ajaye nyuma yangu, ambaye mimi sistahili kuilegeza kamba ya kiatu chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo anakuja baada yangu, lakini mimi sistahili hata kumfungua kamba za viatu vyake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndiye anayekuja nyuma yangu, nami sifai kumfungulia ukanda wa kiatu chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiye yule ajaye nyuma yangu, ambaye mimi sistahili kuilegeza gidamu ya kiatu chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
anayekuja nyuma yangu. Mimi sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndiye ajae nyuma yangu, aliyekuwa mbele yangu, wala mimi sistahili niilegeze gidam ya kiatu chake.