John 1:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mambo haya yalifanyika huko Bethania, ngambo ya mto Yordani ambako Yohane alikuwa anabatiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mambo haya yote yalitukia huko Bethania, ng’ambo ya Yordani, mahali Yahya alipokuwa akibatiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hayo yalifanyika huko Bethania ng'ambo ya Yordani, alikokuwako Yohana akibatiza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mambo haya yote yalitokea Bethania iliyokuwa upande mwingine wa Mto Yordani. Hapa ndipo Yohana alipowabatiza watu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mambo haya yalifanyika huko Bethania, ng'ambo ya mto Yordani ambako Yohane alikuwa anabatiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mambo haya yalifanyika huko Bethania, ng'ambo ya mto Yordani ambako Yohane alikuwa anabatiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mambo haya yote yalitukia huko Bethania, ng'ambo ya Mto Yordani, mahali Yohana alipokuwa akibatiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mambo haya yote yalitukia huko Bethania, ng’ambo ya Mto Yordani, mahali Yahya alipokuwa akibatiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hayo yalifanyika huko Bethania ng'ambo ya Yordani, alikokuwako Yohana akibatiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mambo haya yalifanyika huko Bethania, ngambo ya mto Yordani ambako Yohane alikuwa anabatiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya yalikuwapo huko Betania, ng'ambo ya Yordani, Yohana alikokuwa akibatiza.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hayo yalifanyika huko Bethania ng’ambo ya Yordani, alikokuwako Yohana akibatiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo hayo yalifanyika Betania, ngambo ya muto Yordani, pahali Yoane alipokuwa akibatiza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Haya yalifanyika Bethania ngʼambu ya Yardani, alikokuwako Yohana akibatiza.