John 1:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake, Yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku iliyofuata, Yahya alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena siku ya pili yake Yohana alikuwa amesimama pamoja na wawili katika wanafunzi wake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku iliyofuata Yohana alirejea tena mahali hapo pamoja na wafuasi wake wawili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kesho yake, Yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake, Yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku iliyofuata, Yohana alikuwako huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku iliyofuata, Yahya alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kesho yake Yohana alikuwa amesimama pamoja na wawili katika wanafunzi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake, Yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Kesho yake Yohana akasimama tena na wanafunzi wake wawili,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena siku ya pili yake Yohana alikuwa amesimama pamoja na wawili katika wanafunzi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake Yoane alikuwa pale tena pamoja na wawili kati ya wanafunzi wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tena siku ya pili yake Yohana alikuwa amesimama na wawili katika wanafunzi wake.