John 1:46 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Nathanaeli akamwuliza Filipo, “Je, kitu chema chaweza kutoka Nazareti?” Filipo akamwambia, “Njoo uone.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nathanaeli akauliza, “Nasiri! Je, kitu chochote chema chaweza kutoka Nasiri?” Filipo akamwambia, “Njoo uone.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nathanaeli akamwambia, Laweza neno jema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Nathanaeli akamwambia Filipo, “Nazareti! Je, inawezakana kupata kitu chochote chema kutoka Nazareti?” Filipo akajibu, “Njoo uone.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye Nathanieli akamwuliza Filipo, “Je, kitu chema chaweza kutoka Nazareti?” Filipo akamwambia, “Njoo uone.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Nathanaeli akamwuliza Filipo, “Je, kitu chema chaweza kutoka Nazareti?” Filipo akamwambia, “Njoo uone.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nathanaeli akauliza, “Nazareti! Je, kitu cho chote chema chaweza kutoka Nazareti?” Filipo akamwambia, “Njoo uone.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nathanaeli akauliza, “Nasiri! Je, kitu chochote chema chaweza kutoka Nasiri?” Filipo akamwambia, “Njoo uone.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nathanaeli akamwambia, Laweza neno jema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Nathanaeli akamwuliza Filipo, “Je, kitu chema chaweza kutoka Nazareti?” Filipo akamwambia, “Njoo uone.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Natanaeli alipomwambia: Je? Kiko chema kinachoweza kutoka Nasareti? Filipo akamwambia: Njoo, uone!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nathanaeli akamwambia, Laweza neno jema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Natanaeli akamwuliza: “Kuna kitu kizuri kinachoweza kutoka Nazareti?” Filipo akamujibu: “Kuja uone.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nathanaeli akamwambia, Chaweza kitu chema kutoka Nazareti? Filipo akamwambia, Njoo uone.