John 1:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yohana mwenyewe hakuwa nuru. Lakini alikuja kuwaambia watu kuhusu nuru.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenyewe hakuwa mwanga, alikuja tu, aushuhudie mwanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye mwenyewe hakukuwa mwangaza ule, lakini alikuja tu kuushuhudia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Huyu hakuwa ile nuru, illakini aishuhudie ile nuru.