John 10:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kukawa tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliposikia maneno haya, Wayahudi wakagawanyika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kukaingia tena matengano kati ya Wayahudi, kwa ajili ya maneno hayo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa mara nyingine tena Wayahudi wakagawanyika juu ya yale aliyoyasema Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kukawa tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kukawa tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maneno haya Wayahudi waligawanyika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maneno haya Wayahudi waligawanyika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kukawa na utengano tena kati ya Wayahudi, kwa ajili ya maneno hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kukawa tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda wakakosana tena kwa ajili ya maneno haya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kukaingia tena matengano kati ya Wayahudi, kwa ajili ya maneno hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu ya maneno haya kukatokea tena mikorogano kati ya Wayuda.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yakaingia tena matangukano katika Wayahudi, kwa ajili ya maneno haya.