John 10:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mwenye pepo. Je, pepo anaweza kuyafumbua macho ya vipofu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mtu aliyepagawa na pepo mchafu. Je, pepo mchafu aweza kufungua macho ya kipofu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wengine wakasema, Maneno hayo siyo ya mtu mwenye pepo. Je! Pepo aweza kuwafumbua macho vipofu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wengine wakasema, “Haya siyo maneno ya mtu anayeendeshwa na pepo mchafu. Pepo mchafu hawezi kuponya macho ya mtu asiyeona.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mwenye pepo. Je, pepo anaweza kuyafumbua macho ya vipofu?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mwenye pepo. Je, pepo anaweza kuyafumbua macho ya vipofu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mtu mwenye pepo mchafu. Je, pepo mchafu aweza kufungua macho ya kipofu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mtu aliyepagawa na pepo mchafu. Je, pepo mchafu aweza kufungua macho ya kipofu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wengine wakasema, Maneno hayo siyo ya mtu mwenye pepo. Je! Pepo aweza kuwafumbua macho vipofu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mwenye pepo. Je, pepo anaweza kuyafumbua macho ya vipofu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine wakasema: Maneno haya siyo ya mwenye wazimu. Yuko pepo awezaye kuwafumbua vipofu macho?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wengine wakasema, Maneno hayo siyo ya mtu mwenye pepo. Je! Pepo aweza kuwafumbua macho vipofu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wengine wakasema: “Mutu anayekuwa na pepo hawezi kusema hivi. Pepo zinaweza kuponyesha macho ya vipofu?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wengine wakasema, Maneno haya siyo ya mtu mwenye pepo. Je! pepo aweza kuwafumbua macho vipofu?