John 10:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko Yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya kutabaruku. Wakati huo ulikuwa wa baridi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikafika Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu huko Yerusalemu. Ilikuwa majira ya baridi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi huko Yerusalemu ilikuwa Sikukuu ya Kutabaruku; ni wakati wa baridi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ulikuwa ni wakati wa baridi, na wakati wa Sikukuu ya Kuweka Wakfu kule Yerusalemu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huko Yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya Kutabaruku. Wakati huo ulikuwa wa baridi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko Yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya kutabaruku. Wakati huo ulikuwa wa baridi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo ilikuwa Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu, nao ulikuwa wakati wa majira ya baridi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo ilikuwa Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu huko Yerusalemu, nao ulikuwa wakati wa majira ya baridi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi huko Yerusalemu ilikuwa sikukuu ya kutabaruku; ni wakati wa baridi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko Yerusalemu kulikuwa na sikukuu ya kutabaruku. Wakati huo ulikuwa wa baridi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha pakawa na sikukuu ya mweuo wa Patakatifu huko Yerusalemu; siku zake zilikuwa za kipupwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi huko Yerusalemu ilikuwa Sikukuu ya Kutabaruku; ni wakati wa baridi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja, katika nyakati za mvua kubwa, kukakuwa sikukuu ya Kukumbuka Muzinduo wa hekalu katika Yerusalema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi ilikuwa siku kuu ya kutabaruku huko Yerusalemi; ni wakati wa baridi.