John 10:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Yesu akawa anatembea hekaluni katika ukumbi wa Solomoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Isa alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika Ukumbi wa Sulemani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yesu alikuwa akitembea hekaluni, katika ukumbi wa Sulemani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alikuwa katika eneo la Hekalu katika Ukumbi wa Sulemani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye Yesu akawa anatembea Hekaluni katika ukumbi wa Solomoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Yesu akawa anatembea hekaluni katika ukumbi wa Solomoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Solomoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Isa alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Sulemani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yesu alikuwa akitembea hekaluni, katika ukumbi wa Sulemani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Yesu akawa anatembea hekaluni katika ukumbi wa Solomoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Yesu alipokuwa anatembea hapo Patakatifu katika ukumbi wa Salomo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yesu alikuwa akitembea hekaluni, katika ukumbi wa Sulemani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alikuwa akitembea ndani ya hekalu katika baraza iliyoitwa baraza ya Solomono.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Yesu alikuwa akitembea ndani ya hekalu, katika ukumbi wa Sulemani.