John 10:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi hamsadiki kwa sababu nyinyi si kondoo wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ninyi hamsadiki, kwa sababu hammo miongoni mwa kondoo wangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini hamuamini, kwa sababu ninyi siyo kondoo wangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini ninyi hamsadiki kwa sababu ninyi si kondoo wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi hamsadiki kwa sababu nyinyi si kondoo wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ninyi hamsadiki, kwa sababu hammo miongoni mwa kondoo wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi hamsadiki kwa sababu nyinyi si kondoo wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi hamnitegemei, kwani ninyi hammo katika kondoo wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini ninyi hamsadiki, kwa sababu hammo miongoni mwa kondoo wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi hamusadiki kwa sababu ninyi si kondoo wangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini ninyi hamwamini kwa sababu hammo katika kondoo zangu, kama nilivyowaambieni.