John 10:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wala hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote, na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baba yangu ndiye aliyenipa hao, naye ni mkuu kuliko wote. Hakuna anayeweza kuwaiba kondoo wangu kutoka mkononi mwangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wale hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wala hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wala hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye Baba aliyenipa wale ni mkubwa kuliko wote; hakuna mtu anayeweza kuwapoka mkononi mwake Baba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba yangu aliyenipa kondoo hawa ni mukubwa kuliko wote, na hakuna mutu anayeweza kuwanyanganya toka kwa Baba yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Baba yangu aliyenipa ni mkuu kuliko wote; wala hakuna awezae kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu.