John 10:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawajibu, “Je, haikuandikwa katika sheria yenu: ‘Mimi nimesema, nyinyi ni miungu?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawajibu, “Je, haikuandikwa katika Torati yenu kwamba, ‘Nimesema kuwa ninyi ni “miungu” ’?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akajibu, “Imeandikwa katika sheria yenu kuwa Mungu alisema, ‘Nilisema ninyi ni miungu.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawajibu, “Je, haikuandikwa katika Sheria yenu: Mimi nimesema, ninyi ni miungu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawajibu, “Je, haikuandikwa katika sheria yenu: ‘Mimi nimesema, nyinyi ni miungu?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawajibu, “Je, haikuandikwa katika Torati ya kwamba, ‘Nimesema kuwa, ninyi ndinyi miungu?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawajibu, “Je, haikuandikwa katika Torati ya kwamba, ‘Nimesema kuwa, ninyi ni miungu?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawajibu, “Je, haikuandikwa katika sheria yenu: ‘Mimi nimesema, nyinyi ni miungu?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akawajibu: Katika Maonyo yenu hamkuandikwa kwamba: Mimi nalisema: Ninyi m miungu? Nalo lililoandikwa haliwezi kutanguliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawajibu: “Imeandikwa katika sheria yenu kwamba Mungu amesema: ‘Ninyi ni miungu.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akawajibu, Haikuandikwa katika torati yenu, ya kama, Mimi nilisema, Ninyi m miungu?