John 10:36 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, yeye ambaye Baba alimweka wakfu na kumtuma ulimwenguni, mnamwambia: ‘Unakufuru,’ eti kwa sababu nilisema: ‘Mimi ni Mwana wa Mungu?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
je, mwawezaje kusema kwamba yule ambaye Baba amemweka wakfu na kumtuma ulimwenguni anakufuru, kwa sababu nilisema, ‘Mimi ni Mwana wa Mungu ’?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
je! Yeye ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sasa kwa nini mnanilaumu mimi kwa kumkufuru Mungu kwa kusema, ‘Mimi ni Mwana wa Mungu’?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, yeye ambaye Baba alimweka wakfu na kumtuma ulimwenguni, mnamwambia: Unakufuru, eti kwa sababu nilisema: Mimi ni Mwana wa Mungu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, yeye ambaye Baba alimweka wakfu na kumtuma ulimwenguni, mnamwambia: ‘Unakufuru,’ eti kwa sababu nilisema: ‘Mimi ni Mwana wa Mungu?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mwawezaje kusema kwamba, yule ambaye Baba amemweka wakfu na kumtuma ulimwenguni anakufuru kwa sababu nilisema ‘Mimi ni Mwana wa Mungu?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
je, mwawezaje kusema kwamba yule ambaye Baba amemweka wakfu na kumtuma ulimwenguni anakufuru, kwa sababu nilisema, ‘Mimi ni Mwana wa Mungu’?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
je! Yeye ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nilisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, yeye ambaye Baba alimweka wakfu na kumtuma ulimwenguni, mnamwambia: ‘Unakufuru,’ eti kwa sababu nilisema: ‘Mimi ni Mwana wa Mungu?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, mimi, ambaye Baba alinitakasa na kunituma ulimwenguni, mwanisemaje: Unambeza Mungu, kwa sababu nalisema: Mimi ni Mwana wake Mungu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
je! Yeye ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa upande wangu, nilichaguliwa na Mungu na kutumwa naye katika dunia. Basi namna gani munasema kwamba ninamutukana Mungu kwa sababu nilisema kwamba mimi ni Mwana wa Mungu?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
je! yeye ambae Baba alimtakasa akamtuma ulimwenguni, ninyi mwamwambia, Unakufuru, kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?