John 10:37 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama sifanyi kazi za Baba yangu, msiniamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa sifanyi kazi za Baba yangu, basi msiniamini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama sizitendi kazi za Baba yangu, msiniamini;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini kama sitafanya yale anayoyatenda Baba yangu, basi msiamini ninayosema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama sifanyi kazi za Baba yangu msiniamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama sifanyi kazi za Baba yangu, msiniamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa sifanyi kazi za Baba yangu, basi msiniamini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa sifanyi kazi za Baba yangu, basi msiniamini,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama sizitendi kazi za Baba yangu, msiniamini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama sifanyi kazi za Baba yangu, msiniamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nisipoyafanya matendo ya Baba yangu, msinitegemee!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama sizitendi kazi za Baba yangu, msiniamini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama sifanyi matendo ambayo Baba yangu ananiamuru, musiniamini.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kama sizitendi kazi za Baba yangu, msiniamini;