John 10:41 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengi walimwendea wakasema, “Yohane hakufanya ishara yoyote. Lakini yale yote Yohane aliyosema juu ya mtu huyu ni kweli kabisa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wengi wakamjia, nao wakawa wakisema, “Yahya hakufanya muujiza wowote, lakini kila jambo alilosema kumhusu huyu mtu ni kweli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wengi wakamwendea, wakasema, Yohana kweli hakufanya ishara yo yote, lakini yote aliyoyasema Yohana katika habari zake huyu yalikuwa kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
na watu wengi wakaja kwake. Wakasema, “Yohana hakutenda ishara na miujiza yoyote, lakini kila alichosema kuhusu mtu huyu ni kweli!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wengi walimwendea wakasema, “Yohane hakufanya ishara yoyote. Lakini yale yote Yohane aliyosema juu ya mtu huyu ni kweli kabisa.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengi walimwendea wakasema, “Yohane hakufanya ishara yoyote. Lakini yale yote Yohane aliyosema juu ya mtu huyu ni kweli kabisa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wengi wakamjia, nao wakawa wakisema, “Yohana hakufanya mwujiza wo wote, lakini kila jambo alilosema kumhusu huyu mtu ni kweli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wengi wakamjia, nao wakawa wakisema, “Yahya hakufanya muujiza wowote, lakini kila jambo alilosema kumhusu huyu mtu ni kweli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wengi wakamwendea, wakasema, Yohana kweli hakufanya ishara yoyote, lakini yote aliyoyasema Yohana kuhusu habari zake huyu yalikuwa kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wengi walimwendea wakasema, “Yohane hakufanya ishara yoyote. Lakini yale yote Yohane aliyosema juu ya mtu huyu ni kweli kabisa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wengi wakamwendea hapo, wakasema: Yohana hakufanya kielekezo cho chote, lakini yote, Yohana aliyoyasema yake huyu, yalikuwa ya kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wengi wakamwendea, wakasema, Yohana kweli hakufanya ishara yo yote, lakini yote aliyoyasema Yohana katika habari zake huyu yalikuwa kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wengi wakamufikia na kusema: “Yoane hakuonyesha hata kitambulisho kimoja, lakini maneno yote aliyoyasema juu ya mutu huyu yalikuwa ya kweli.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yohana hakufanya ishara yo yote, lakini yote aliyosema Yohana katika khabari zake huyu yalikuwa kweli.