John 10:42 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengi mahali hapo wakamwamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao watu wengi wakamwamini Isa huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wengi wakamwamini huko.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na watu wengi huko wakamwamini Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wengi mahali hapo wakamwamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengi mahali hapo wakamwamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao wengi wakamwamini Yesu huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao wengi wakamwamini Isa huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wengi wakamwamini huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wengi mahali hapo wakamwamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo wengi wakamtegemea pale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wengi wakamwamini huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kule watu wengi wakamwamini Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wengi wakamwamini huko.