John 10:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wengine wote waliokuja kabla yangu ni wezi na wanyanganyi, nao kondoo hawakuwasikiliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote walionitangulia ni wezi na wanyang’anyi, nao kondoo hawakuwasikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi; lakini kondoo hawakuwasikia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wote walionitangulia walikuwa wezi na wanyang'anyi. Kondoo hawakuwasikiliza hao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wengine wote waliokuja kabla yangu ni wezi na wanyang'anyi, nao kondoo hawakuwasikiliza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wengine wote waliokuja kabla yangu ni wezi na wanyang'anyi, nao kondoo hawakuwasikiliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi, lakini kondoo hawakuwasikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote walionitangulia ni wevi na wanyang’anyi, lakini kondoo hawakuwasikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote walionitangulia ni wezi na wanyang'anyi; lakini kondoo hawakuwasikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wengine wote waliokuja kabla yangu ni wezi na wanyanganyi, nao kondoo hawakuwasikiliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wo wote waliokuja mbele yangu ndio wezi na wanyang'anyi; kwa hiyo kondoo hawakuwasikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote walionitangulia ni wevi na wanyang’anyi; lakini kondoo hawakuwasikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote waliokuja mbele sijafika ni wizi na wanyanganyi; lakini kondoo hawakuwasikia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wote walionitangulia ni wezi na wanyangʼanyi: lakini kondoo hawakuwasikia.