John 11:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini nafurahi kwa ajili yenu kwamba sikuwako huko, ili mpate kuamini. Haya, twendeni kwake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo nafurahi kwa kuwa sikuwako huko kabla ya Lazaro kufa, ili mpate kuamini. Lakini sasa twendeni kwake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nafurahi kwa ajili yenu kwamba sikuwako huko, ili mpate kuamini; lakini na twendeni kwake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na ninafurahi sikuwepo hapo. Ninafurahi kwa ajili yenu kwa sababu sasa mtaniamini mimi. Twendeni kwake sasa.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini nafurahi kwa ajili yenu kwamba sikuwako huko, ili mpate kuamini. Haya, twendeni kwake.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini nafurahi kwa ajili yenu kwamba sikuwako huko, ili mpate kuamini. Haya, twendeni kwake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo nafurahi kwa kuwa sikuwepo huko kabla ya Lazaro kufa, ili mpate kuamini. Lakini sasa twendeni kwake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo nafurahi kwa kuwa sikuwepo huko kabla ya Lazaro kufa, ili mpate kuamini. Lakini sasa twendeni kwake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nafurahi kwa ajili yenu kwamba sikuwako huko, ili mpate kuamini; lakini na twendeni kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini nafurahi kwa ajili yenu kwamba sikuwako huko, ili mpate kuamini. Haya, twendeni kwake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nafurahi kwa ajili yenu, ya kuwa sikuwako kule, mpate kunitegemea. Lakini twende, tufike kwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nafurahi kwa ajili yenu kwamba sikuwako huko, ili mpate kuamini; lakini na twendeni kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami ninafurahi kwa ajili yenu, kwa sababu sikukuwa kule, kusudi mupate kuamini. Tuende kule anapokuwa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami nafurahi kwa ajili yenn kwamba sikuwa huko, mpate kuamini: lakini na twende kwake.