John 11:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Thoma (aitwaye Pacha) akawaambia wanafunzi wenzake, “Twendeni nasi tukafe pamoja naye!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tomaso (aliyeitwa Pacha) akawaambia wanafunzi wenzake, “Sisi nasi twendeni tukafe pamoja naye.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Tomaso, aitwaye Pacha, akawaambia wanafunzi wenziwe, Twendeni na sisi, ili tufe pamoja naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo Tomaso, pia aliyeitwa “Pacha”, akawaambia wafuasi wengine, “Nasi pia tutaenda kule kufa pamoja na Yesu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Thoma (aitwaye Pacha) akawaambia wanafunzi wenzake, “Twendeni nasi tukafe pamoja naye!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Thoma (aitwaye Pacha) akawaambia wanafunzi wenzake, “Twendeni nasi tukafe pamoja naye!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tomasi aliyeitwa Pacha akawaambia wanafunzi wenzake, “Sisi nasi twendeni tukafe pamoja naye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tomaso aliyeitwa Pacha akawaambia wanafunzi wenzake, “Sisi nasi twendeni tukafe pamoja naye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Tomaso, aitwaye Pacha, akawaambia wanafunzi wenziwe, Twendeni na sisi, ili tufe pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Thoma (aitwaye Pacha) akawaambia wanafunzi wenzake, “Twendeni nasi tukafe pamoja naye!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toma anayeitwa Pacha akawaambia wanafunzi wenziwe: Twende nasi, tufe pamoja naye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Tomaso, aitwaye Pacha, akawaambia wanafunzi wenziwe, Twendeni na sisi, ili tufe pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Toma, anayeitwa “Pacha,” akawaambia wanafunzi wenzake: “Nasi tuende vilevile, tukufie pamoja naye.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi Tomaso, aitwae Didumo, akawaambia wanafunzi wenziwe, Twende na sisi, tufe pamoja nae.