John 11:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu, umbali wa yamkini maili mbili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Bethania ilikuwa karibu na Yerusalemu, kadiri ya maili mbili hivi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mji wa Bethania ulikuwa kama kilomita tatu kutoka Yerusalemu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu umbali upatao kilomita tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Bethania ilikuwa karibu na Yerusalemu, kadiri ya maili mbili hivi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu, umbali upatao kilomita tatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kule Betania kulikuwa karibu ya Yerusalemu, ni mwendo wa nusu saa;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Bethania ilikuwa karibu na Yerusalemu, kadiri ya maili mbili hivi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati ya kijiji cha Betania na Yerusalema kulikuwa umbali yapata kilometre tatu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Bethania ilikuwa karibu ya Yerusalemi, kadiri ya stadio khamstashara;