John 11:21 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Martha akamwambia Isa, “Bwana, kama ungekuwa hapa, ndugu yangu hangekufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwepo hapa, ndugu yangu asingelikufa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Martha akamwambia Isa, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, ndugu yangu hangalikufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Marta akamwambia Yesu: Bwana, kama ungalikuwapo hapa, umbu langu hangalikufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Marta akamwambia Yesu: “Bwana, kama ungekuwa hapa, kaka yangu hangekufa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu asingalikufa.