John 11:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kila anayeishi na kuniamini, hatakufa kamwe. Je, waamini hayo?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila atakayeniamini hatakufa kiroho hata kama atakufa kimwili. Je, Martha, unaliamini jambo hili?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na kila anayeishi na kuniamini, hatakufa kamwe. Je, waamini hayo?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kila anayeishi na kuniamini, hatakufa kamwe. Je, waamini hayo?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na ye yote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kila anayeishi na kuniamini, hatakufa kamwe. Je, waamini hayo?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila aliye mzima na kunitegemea hatakufa kale na kale. Unavitegemea hivi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile yeyote anayeishi ndani yangu na kuniamini, hatakufa hata milele. Unaamini maneno haya?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na killa mwenye uzima na kuniamini mimi hatakufa kabisa hatta milele. Je! waamini haya?