John 11:29 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye aliposikia hivyo, akainuka mara, akamwendea Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mariamu aliposikia hivyo, akaondoka upesi, akaenda hadi alipokuwa Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye aliposikia, aliondoka upesi, akamwendea.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mariamu aliposikia hivyo, aliinuka na kwenda haraka kwa Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye aliposikia hivyo, akainuka mara, akamwendea Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye aliposikia hivyo, akainuka mara, akamwendea Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maria aliposikia hivyo, akaondoka upesi akaenda mpaka alipokuwa Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maria aliposikia hivyo, akaondoka upesi akaenda mpaka alipokuwa Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye aliposikia, aliondoka upesi, akamwendea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye aliposikia hivyo, akainuka mara, akamwendea Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alipovisikia akainuka upesi, akamwendea;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye aliposikia, aliondoka upesi, akamwendea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Maria aliposikia hivi, akaondoka upesi kwenda kumukuta.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae aliposikia, akaondoka upesi, akamwendea.