John 11:40 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akamwambia, “Je, sikukuambia kwamba ukiamini utaona utukufu wa Mungu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamwambia, “Sikukuambia kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akamwambia Martha, “Unakumbuka jinsi nilivyokuambia? Je, sikukuambia kwamba kama ukiamini, ungeuona utukufu wa Mungu?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akamwambia, “Je, sikukwambia kwamba ukiamini utaona utukufu wa Mungu?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akamwambia, “Je, sikukuambia kwamba ukiamini utaona utukufu wa Mungu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamwambia, “Sikukuambia kwamba kama ukiamini utauona utukufu wa Mungu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamwambia, “Sikukuambia kwamba kama ukiamini utauona utukufu wa Mungu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akamwambia, “Je, sikukuambia kwamba ukiamini utaona utukufu wa Mungu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akamwambia: Sikukuambia: Ukinitegemea utauona utukufu wake Mungu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akamwambia: “Sikukuambia kwamba ukiamini utaona utukufu wa Mungu?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akamwambia, Sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? Bassi wakaliondoa lile jiwe.