John 11:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa aliwapenda Martha, Mariamu na Lazaro ndugu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yesu alimpenda Martha na umbu lake na Lazaro.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu aliwapenda Martha, na dada yake na Lazaro.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pamoja na hivyo, ingawa Yesu aliwapenda Martha, Maria na Lazaro ndugu yao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pamoja na hivyo, ingawa Isa aliwapenda Martha, Maria na Lazaro ndugu yao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yesu alimpenda Martha na dada yake na Lazaro.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Yesu alikuwa amewapenda akina Marta na ndugu yake na Lazaro.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yesu alimpenda Martha na umbu lake na Lazaro.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu aliwapenda Marta na dada yake pamoja na Lazaro.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae Yesu alimpenda Martha na dada yake ua Lazaro.