John 11:53 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, tangu siku hiyo viongozi wa Wayahudi walifanya mipango ya kumwua Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo tangu siku hiyo wakawa wanafanya mipango ili wamuue Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi tangu siku ile walifanya shauri la kumwua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku ile viongozi wa Wayahudi wakaanza kupanga jinsi ya kumuua Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, tangu siku hiyo viongozi wa Wayahudi walifanya mipango ya kumwua Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, tangu siku hiyo viongozi wa Wayahudi walifanya mipango ya kumwua Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo tangu siku hiyo wakawa wanafanya mipango ili wamwue Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo tangu siku hiyo wakawa wanafanya mipango ili wamuue Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi tangu siku ile walifanya shauri la kumwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, tangu siku hiyo viongozi wa Wayahudi walifanya mipango ya kumwua Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, tangu siku ile walikula njama ya kumwua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi tangu siku ile walifanya shauri la kumwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi tangia siku ile wakakusudia kumwua Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi tangu siku ile walifanya shauri wapate kumwua.