John 11:56 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakawa wanamtafuta Yesu. Nao walipokusanyika pamoja hekaluni, wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wakawa wanamtafuta Isa, nao waliposimama kwenye ua la Hekalu, waliulizana, “Je, mtu huyu hatakuja kamwe kwenye Sikukuu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wao wakamtafuta Yesu, wakasemezana hali wamesimama hekaluni, Mwaonaje? Haji kabisa sikukuu hii?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wakamtafuta Yesu. Nao walisimama katika maeneo ya Hekalu na kuulizana, “Je, naye atakuja kwenye sikukuu? Unafikirije wewe?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakawa wanamtafuta Yesu; nao walipokusanyika pamoja Hekaluni wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakawa wanamtafuta Yesu. Nao walipokusanyika pamoja hekaluni, wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wakawa wanamtafuta Yesu, nao waliposimama kwenye eneo la Hekalu waliulizana, Je, mtu huyu hatakuja kamwe kwenye Sikukuu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wakawa wanamtafuta Isa, nao waliposimama kwenye eneo la Hekalu waliulizana, Je, mtu huyu hatakuja kamwe kwenye Sikukuu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wao wakamtafuta Yesu, wakasemezana wakiwa wamesimama hekaluni, Mwaonaje? Haji kabisa sikukuu hii?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakawa wanamtafuta Yesu. Nao walipokusanyika pamoja hekaluni, wakaulizana, “Mwaonaje? Yaonekana kwamba haji kabisa kwenye sikukuu, au sivyo?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kumtafuta Yesu wakasemezana wao kwa wao wakisimama hapo Patakatifu: Mwaonaje? Hatakuja sikukuu hii?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wao wakamtafuta Yesu, wakasemezana hali wamesimama hekaluni, Mwaonaje? Haji kabisa sikukuu hii?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamutafuta Yesu, na wakaulizana hivi ndani ya hekalu: “Munawaza nini? Atakuja kwa karamu au hapana?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi wakamtafuta Yesu, wakasemezana wao kwa wao, wakisimama katika hekalu, Mwaonaje? Haji kabisa siku kuu hii?