John 11:57 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makuhani wakuu na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kwamba mtu akijua mahali aliko Yesu awaarifu kusudi wamtie nguvuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kuwa yeyote atakayejua mahali Isa aliko, lazima atoe taarifa ili wapate kumkamata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakuu wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri ya kwamba mtu akimjua alipo, alete habari, ili wapate kumkamata.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini viongozi wa makuhani na Mafarisayo walitoa agizo maalumu kuhusu Yesu. Walisema kuwa mtu yeyote anayejua mahali alipo Yesu awaambie ili waweze kumkamata.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Makuhani wakuu na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kwamba mtu akijua mahali aliko Yesu awaarifu kusudi wamtie nguvuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makuhani wakuu na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kwamba mtu akijua mahali aliko Yesu awaarifu kusudi wamtie nguvuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kuwa ye yote atakayejua mahali Yesu aliko, lazima atoe taarifa ili wapate kumkamata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viongozi wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kuwa yeyote atakayejua mahali Isa aliko, lazima atoe taarifa ili wapate kumkamata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakuu wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri ya kwamba mtu akimjua alipo, alete habari, ili wapate kumkamata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makuhani wakuu na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kwamba mtu akijua mahali aliko Yesu awaarifu kusudi wamtie nguvuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watambikaji wakuu na Mafariseo walikuwa wameagiza, mtu akitambua, alipo, sharti aseme, wapate kumkamata.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakuu wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri ya kwamba mtu akimjua alipo, alete habari, ili wapate kumkamata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakubwa wa makuhani na Wafarisayo walikuwa wametoa amri kwamba mutu akijua pahali Yesu alipokuwa, alete habari kusudi wapate kumufunga.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Makuhani na Mafarisayo wametoa amri ya kwamba, mtu akimjua alipo, alete khabari, wapate kumkamata.