John 12:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makuhani wakuu waliamua pia kumwua Lazaro,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo viongozi wa makuhani wakapanga njama ya kumuua Lazaro pia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakuu wa makuhani wakafanya shauri la kumwua Lazaro naye;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Viongozi wa makuhani nao wakafanya mpango wa kumuua Lazaro.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Makuhani wakuu waliamua pia kumwua Lazaro,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makuhani wakuu waliamua pia kumwua Lazaro,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo viongozi wa makuhani wakafanya mpango wa kumwua Lazaro pia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo viongozi wa makuhani wakafanya mpango wa kumuua Lazaro pia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakuu wa makuhani wakafanya shauri la kumwua Lazaro naye;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makuhani wakuu waliamua pia kumwua Lazaro,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo watambikaji wakuu wakala njama ya kumwua hata Lazaro.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakuu wa makuhani wakafanya shauri la kumwua Lazaro naye;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakubwa wa makuhani wakakata shauri la kumwua Lazaro vilevile,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Makuhani wakuu wakafanya shauri wamwue Lazaro nae;