John 12:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana kwa sababu ya Lazaro Wayahudi wengi waliwaasi viongozi wao, wakamwamini Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa kutokana na habari za kufufuliwa kwake, Wayahudi wengi walikuwa wanamfuata Isa na kumwamini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana kwa ajili yake wengi katika Wayahudi walijitenga, wakamwamini Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walitaka kumwua kwa sababu, Wayahudi wengi waliwaacha makuhani hao na kumwamini Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana kwa sababu ya Lazaro Wayahudi wengi waliwaasi viongozi wao, wakamwamini Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana kwa sababu ya Lazaro Wayahudi wengi waliwaasi viongozi wao, wakamwamini Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa kutokana na habari za kufufuliwa kwake Wayahudi wengi walikuwa wanamwendea Yesu na kumwamini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa kutokana na habari za kufufuliwa kwake Wayahudi wengi walikuwa wanamwendea Isa na kumwamini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana kwa ajili yake wengi katika Wayahudi walijitenga, wakamwamini Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana kwa sababu ya Lazaro Wayahudi wengi waliwaasi viongozi wao, wakamwamini Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwa ajili yake yeye Wayuda wengi wakaenda kule, wakamtegemea Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana kwa ajili yake wengi katika Wayahudi walijitenga, wakamwamini Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa maana kwa ajili yake Wayuda wengi walijitenga nao na kumwamini Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
maana kwa ajili yake wengi katika Wayahudi walikwenda zao, wakamwamini Yesu.