John 12:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usiogope mji wa Siyoni! Tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Usiogope, ewe Binti Sayuni; tazama, mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiogope, binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Msiogope, enyi watu wa Sayuni! Tazameni! Mfalme wenu anakuja. Naye amepanda mwana punda.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Usiogope mji wa Sioni! Tazama, Mfalme wako anakuja, Amepanda mwana punda.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usiogope mji wa Siyoni! Tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Usiogope, Ewe binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Usiogope, Ewe binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiogope, binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usiogope mji wa Siyoni! Tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiogope, binti Sioni! Tazama, mfalme wako anakuja, amepanda mwana wa punda!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiogope, binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Musiogope ninyi wakaaji wa Sayuni! Angalia, mufalme wenu anakuja, akipanda juu ya mwana-punda.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Usiogope, binti Sayuni: angalia, Mfalme wako anakuja, ameketi juu ya mwana wa punda.