John 12:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo umati huo wa watu ulimlaki, maana wote walisikia kwamba Yesu alikuwa amefanya ishara hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na kwa sababu walikuwa wamesikia kwamba alikuwa ametenda muujiza huu, umati wa watu wakaenda kumlaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa sababu hiyo mkutano walikwenda kumlaki, kwa kuwa wamesikia ya kwamba ameifanya ishara hiyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo sababu watu wengi walienda ili kumlaki Yesu; kwa kuwa walikuwa wamesikia habari za ishara hii aliyoifanya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa hiyo umati huo wa watu ulimlaki, maana wote walisikia kwamba Yesu alikuwa amefanya ishara hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo umati huo wa watu ulimlaki, maana wote walisikia kwamba Yesu alikuwa amefanya ishara hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni kwa sababu pia walikuwa wamesikia kwamba alikuwa ametenda mwujiza huu ndiyo maana umati wa watu ukaenda kumlaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni kwa sababu pia walikuwa wamesikia kwamba alikuwa ametenda muujiza huu ndiyo maana umati wa watu ukaenda kumlaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa sababu hiyo mkutano walikwenda kumlaki, kwa kuwa wamesikia ya kwamba ameifanya ishara hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo umati huo wa watu ulimlaki, maana wote walisikia kwamba Yesu alikuwa amefanya ishara hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hiyo watu wengi wakamwendea, kwani walikuwa wamesikia, ya kuwa yeye amekifanya kielekezo hicho.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa sababu hiyo mkutano walikwenda kumlaki, kwa kuwa wamesikia ya kwamba ameifanya ishara hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu hii watu wengi walikwenda kumupokea, kwa maana walikuwa wamesikia kwamba ameonyesha kitambulisho hicho.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu hiyo makutano wakaenda kumlaki, kwa sababu wamesikia ya kwamba amefanya ishara hii.