John 12:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha akawa anawatumikia. Lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaandaa karamu kwa heshima ya Isa. Martha akawahudumia, wakati Lazaro alikuwa miongoni mwa waliokaa mezani pamoja na Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakamwandalia karamu huko; naye Martha akatumikia; na Lazaro alikuwa mmojawapo wa wale walioketi chakulani pamoja naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hapo walimwandalia Yesu karamu ya chakula. Naye Martha alihudumu na Lazaro alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wakila chakula pamoja na Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha akawa anawatumikia. Lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha akawa anawatumikia. Lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaandaa karamu kwa heshima ya Yesu. Martha akawahudumia wakati Lazaro alikuwa miongoni mwa waliokaa mezani pamoja na Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaandaa karamu kwa heshima ya Isa. Martha akawahudumia wakati Lazaro alikuwa miongoni mwa waliokaa mezani pamoja na Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakamwandalia karamu huko; naye Martha akawatumikia; na Lazaro alikuwa mmojawapo wa wale walioketi chakulani pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko walimwandalia chakula cha jioni, naye Martha akawa anawatumikia. Lazaro alikuwa mmoja wa wale waliokuwa mezani pamoja na Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kule wakamwandalia chakula cha jioni, naye Marta alikuwa akiwatumikia; lakini Lazaro alikuwa mmoja wao waliokaa chakulani naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakamwandalia karamu huko; naye Martha akatumikia; na Lazaro alikuwa mmojawapo wa wale walioketi chakulani pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule wakamutayarishia chakula cha magaribi. Marta aliwashugulikia, na Lazaro alikuwa mumoja wa wale waliokula pamoja na Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi wakamfanyizia karamu huko; Martha akakhudumu. Na Lazaro alikuwa mmoja wa wale walioketi chakulani pamoja nae.