John 12:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Filipo akaenda, akamwambia Andrea, nao wawili wakaenda kumwambia Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Filipo akaenda akamweleza Andrea, nao wote wawili wakamwambia Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Filipo akaenda, akamwambia Andrea; kisha Andrea na Filipo wakamwambia Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Filipo alienda na kumwambia Andrea hitaji lao. Kisha Andrea na Filipo walienda na kumwambia Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Filipo akaenda akamwambia Andrea, nao wawili wakaenda kumwambia Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Filipo akaenda, akamwambia Andrea, nao wawili wakaenda kumwambia Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Filipo akaenda akamweleza Andrea, nao wote wawili wakamwambia Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Filipo akaenda akamweleza Andrea, nao wote wawili wakamwambia Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Filipo akaenda, akamwambia Andrea; kisha Andrea na Filipo wakamwambia Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Filipo akaenda, akamwambia Andrea, nao wawili wakaenda kumwambia Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Filipo akaenda, akamwambia Anderea. Anderea na Filipo wakaenda, wakamwambia Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Filipo akaenda, akamwambia Andrea; kisha Andrea na Filipo wakamwambia Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Filipo akaenda kumwambia Andrea, na kisha wote wawili wakaenda kumwelezea Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Filipo akaenda, akamwambia Andrea; kiisha Andrea na Filipo wakamwambia Yesu.