John 12:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baba, ulitukuze jina lako.” Hapo sauti ikasema kutoka mbinguni, “Nimelitukuza, na nitalitukuza tena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba, litukuze jina lako.” Ndipo ikaja sauti kutoka mbinguni, ikasema, “Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baba, ulitukuze jina lako. Basi ikaja sauti kutoka mbinguni, Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baba yangu, ufanye yale yatakayokuletea wewe utukufu!” Kisha sauti kutoka mbinguni ikasikika ikisema, “Tayari nimekwisha upata utukufu wangu. Nitaupata tena.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baba, ulitukuze jina lako.” Hapo sauti ikasema kutoka mbinguni, “Nimelitukuza, na nitalitukuza tena.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baba, ulitukuze jina lako.” Hapo sauti ikasema kutoka mbinguni, “Nimelitukuza, na nitalitukuza tena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba, litukuze jina lako.” Ndipo ikaja sauti kutoka mbinguni, “Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baba, litukuze jina lako.” Ndipo ikaja sauti kutoka mbinguni, “Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baba, ulitukuze jina lako. Basi ikaja sauti kutoka mbinguni, Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baba, ulitukuze jina lako.” Hapo sauti ikasema kutoka mbinguni, “Nimelitukuza, na nitalitukuza tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, niseme: Baba, ulitukuze Jina lako! Kisha sauti ikaja toka mbinguni kwamba: Nimelitukuza, kisha nitalitukuza tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baba, ulitukuze jina lako. Basi ikaja sauti kutoka mbinguni, Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba, utukuze jina lako!” Halafu sauti ikasikilika toka mbinguni ikisema: “Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi ikaja sauti kutoka mbinguni, Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena.