John 12:29 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umati wa watu waliokuwa wamesimama hapo walisikia sauti hiyo, na baadhi yao walisema, “Ni ngurumo.” Lakini wengine wakasema, “Malaika ameongea naye!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umati ule wa watu waliokuwa mahali pale waliisikia ile sauti, nao wakasema hiyo ilikuwa sauti ya radi; wengine wakasema malaika ameongea naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mkutano uliosimama karibu wakasikia, walisema ya kwamba kumekuwa ngurumo; wengine walisema, Malaika amesema naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu waliokuwa wamesimama hapo wakaisikia sauti hiyo. Wakasema ilikuwa ni ngurumo. Lakini wengine wakasema, “Malaika amesema naye!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Umati wa watu waliokuwa wamesimama hapo walisikia sauti hiyo, na baadhi yao walisema, “Malaika ameongea naye!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umati wa watu waliokuwa wamesimama hapo walisikia sauti hiyo, na baadhi yao walisema, “Ni ngurumo.” Lakini wengine wakasema, “Malaika ameongea naye!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ule umati wa watu uliokuwa mahali pale uliisikia nao ukasema, “Hiyo ni sauti ya radi,” wengine wakasema, “Malaika ameongea naye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ule umati wa watu uliokuwa mahali pale uliisikia nao ukasema, “Hiyo ni sauti ya radi,” wengine wakasema, “Malaika ameongea naye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mkutano uliosimama karibu wakasikia, walisema ya kwamba kumekuwa ngurumo; wengine walisema, Malaika amesema naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umati wa watu waliokuwa wamesimama hapo walisikia sauti hiyo, na baadhi yao walisema, “Ni ngurumo.” Lakini wengine wakasema, “Malaika ameongea naye!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kundi la watu waliokuwako walipoyasikia wakasema: Kumepiga ngurumo; wengine wakasema: Malaika amesema naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mkutano uliosimama karibu wakasikia, walisema ya kwamba kumekuwa ngurumo; wengine walisema, Malaika amesema naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kundi la watu waliosimama pale na waliosikia sauti ile wakasema: “Ile ilikuwa ngurumo ya radi!” Wengine wakasema: “Ni malaika aliyekuwa akisema naye!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi makutano waliosimama karibu wakasikia, wakanena kwamba kumekuwa ngurumo; wengine walisema, Malaika amesema nae.