John 12:32 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nitakapoinuliwa juu ya nchi nitamvuta kila mmoja kwangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi, nikiinuliwa kutoka nchi, nitawavuta watu wote waje kwangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikiinuliwa juu ya nchi, nitawavuta wote kwangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nami nitainuliwa juu kutoka katika nchi. Mambo hayo yatakapotokea, nitawavuta watu wote waje kwangu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nami nitakapoinuliwa juu ya nchi nitamvuta kila mmoja kwangu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nitakapoinuliwa juu ya nchi nitamvuta kila mmoja kwangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mimi, nikiinuliwa kutoka katika nchi, nitawavuta watu wote waje kwangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mimi, nikiinuliwa kutoka nchi, nitawavuta watu wote waje kwangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikiinuliwa juu ya nchi, nitawavuta wote kwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nitakapoinuliwa juu ya nchi nitamvuta kila mmoja kwangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nitakapokwezwa, nitoke nchini, ndipo, nitakapowavuta wote, waje kwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikiinuliwa juu ya nchi, nitawavuta wote kwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi, nitakaponyanyuliwa toka katika dunia, nitawavuta watu wote kuja kwangu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami nikiinuliwa juu ya inchi nitavuta wote kwangu.