John 12:33 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa aliyasema haya akionesha ni kifo gani atakachokufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliyanena hayo akionyesha ni mauti gani atakayokufa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alisema hili kuonesha jinsi ambavyo atakufa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
(Kwa kusema hivyo alionyesha atakufa kifo gani).
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu aliyasema haya akionyesha ni kifo gani atakachokufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa aliyasema haya akionyesha ni kifo gani atakachokufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliyanena hayo akionesha ni mauti gani atakayokufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Kwa kusema hivyo alionesha atakufa kifo gani).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili alilisema, aonyeshe, kama ni kufa gani kulikomngoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliyanena hayo akionyesha ni mauti gani atakayokufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Alisema hivi kwa kuonyesha ni kifo gani atakachokufa.)
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alinena haya, illi kuonyesha ni mauti gani atakayokufa.