John 12:38 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia: “Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu? Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: “Mwenyezi Mungu, ni nani aliyeamini ujumbe wetu, na mkono wa Mwenyezi Mungu umefunuliwa kwa nani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili litimie lile neno la nabii Isaya alilolisema, Bwana, ni nani aliyezisadiki habari zetu; Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Haya yalikuwa hivyo ili kuthibitisha yale aliyoyasema nabii Isaya kuwa: “Bwana, ni nani aliyeamini yale tuliyowaambia? Ni nani aliyeziona nguvu za Bwana?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia: “Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu? Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia: “Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu? Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: “Bwana, ni nani aliyesadiki ujumbe wetu na mkono wa Bwana amefunuliwa nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: “Bwana Mwenyezi Mungu, ni nani aliyeamini ujumbe wetu, na mkono wa Bwana Mwenyezi umefunuliwa kwa nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili litimie lile neno la nabii Isaya alilolisema, Bwana, ni nani aliyezisadiki habari zetu; Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia: “Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu? Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Imekuwa hivyo, neno, mfumbuaji Yesaya alilolisema, lipate kutimia: Bwana, yuko nani anayeutegemea utume wetu? Tena yuko nani aliyefumbuliwa, mkono wa Bwana unayoyafanya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili litimie lile neno la nabii Isaya alilolisema, Bwana, ni nani aliyezisadiki habari zetu; Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi maneno haya yaliyosemwa na nabii Isaya yatimie: “Bwana, ni nani aliyeamini habari tuliyopasha? Nani aliyefunuliwa matendo ya uwezo ya Bwana?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi litimizwe lile neno la nabii Isaya alilolisema, Bwana, nani aliyeziamini khabari zetu? Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani?